02 May 2012

Wednesday, May 2, 2012

Maandalizi ya Aflewo Praise Team Kwa ajili ya mkesha Yakamilika

Bale Akiongoza Mazoezi ya Wimbo Wewe Watosha.
Siku ya tarehe 1 wakati watu wakisherekea Mei Mosi, Aflewo Praise Team Tanzania walikuwa wakikamilisha suala zima la Maandalizi kwa ajili ya Event Ya Ijumaa.


Siku ya Ijumaa pale katika kanisa la CCC Upanga, Mkabala na Mzumbe University kutakuwa na Mkesha Mkubwa wa Praise and Worship kuanzia saa 3 usiku mpaka majogoo.


Katika siku ya Jana Praise Team Walikuwa wametumia kwa ajili ya maandalizi na Pia kwa ajili ya Ibada maalum ya Kupakwa Mafuta tayari kwa Utumishi.

 Eneo La Tukio Full Kiyoyozi.
 Aflewo Praise Team Wakifanya Mazoezi Siku Ya Jana
 Walioenda Kutazama Mazoezi nao wakajikuta Wapo ndani ya Uwepo.
 Grace Mwakasendile akiondoza Mojawapo ya Nyimbo za Praise Team.
 Kijana anayekuja Juu katika Worship, Bale Kutoka DPC akiongoza Wimbo "Wewe Watosha" siku ya Jana.
 Projector pia zitakuwepo.
 Samuel Mwangati Music Director wa Aflewo na Msaidizi Wake John Lisue Wakichora Mfumo utakaotumika siku ya Ijumaa ili Praise Team Kushambulia Jukwaa.
 Kama undani Formula ni Football pekee umekosea , Formula Nzima hii hapa ya Aflewo Worship Team
 Kushoto ni Pastor Abel, Pastor Lubala walezi wa Aflewo Tanzania wakiwa na Mzee wa Publicity Mc Luvanda.
 Eneo la Tukio.
 Mzungu ndani Ya Aflewo Team.
 Pastor Safari akiwa anafundisha Siku Ya Jana Katika Mazoezi.
 Wachungaji Wakiwapaka Mafuta Waimbaji, Waombaji, Wahudumu na Kamati kwa Ujumla Siku ya Jana.
Watu Wakikamata Annointing.
Hapa ni Mwendo Wa Sebene

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...