20 May 2012

John Lisu azidi kufanya kweli Nairobi-Kenya

John Lisu azidi kufanya kweli Nairobi Kenya katika Tuwa ya Jehova Yu Hai,Apo jana akiwa katika Kanisa la International Christian Centre Church Mombasa rd,Nairobi Kenya maelfu ya watu wamebarikiwa na Tuwa hiyo.

John Lisu akifanya kweli ndani ya ICC Nairobi.

John Lisu

Blog hii inakupa Hongera sana John kwa kazi nzuri na Hatua Ambayo umepiga.ni Bwana Yote Tunampa utukufu Mungu.www.mabisatz.blogspot.com tutaendelea kuwajulisha kila kitu Ambacho kinaendelea kwa Watumishi wote Ambao tunamtumikia Mungu kwa Bidii....Barikiwa sanaaaaa!!!!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...