20 July 2014


Kundi zima la sasa la The Gaither Vocal Band, waimbaji wawili ni wapya waliochukua nafasi ya waimbaji utakao waona kwenye video chini.David Phelps mwimbaji wa muda mrefu wa Gaither ambaye sauti yake hana mfanowe.
i maarufu duniani la Gaither Vocal Band la nchini Marekani ambalo umaarufu wake unatokana na namna ya uimbaji wao, jumbe zilizomo kwenye nyimbo zao lakini pia sauti za waimbaji wenyewe ambazo huimbwa na wababa tu zikiwa zimetulia na huvutia wengi. Kundi hili limekuwa likigezwa nyimbo zake na kwaya nyingi hapa nchini ambazo huimba kwa mtindo wa nyimbo za vitabuni.
Kutoka katika kundi hili tumekuchagulia wimbo uitwao "He Touched Me" ambao kiongozi ama mmiliki wa kundi hili na mkewe Bill na Gloria waliutunga wimbo huu mwaka 1963, lakini licha ya miaka mingi kupita wimbo huu bado umeendelea kuimbwa na kupendwa na wengi mpaka leo.
Ujumbe mkuu unaopatikana katika wimbo huu naweza sema ni ushuhuda wa namna ya mtunzi alivyokutana na Yesu na kumbadilisha maisha yake kwa kuchukua aibu zake zote, tangu alipoguswa na Yesu kuna jambo lilitukia na sasa anajua kwakuwa Yesu amemfanya awe kamili. Tunatumaini wimbo huu utafanyika baraka katika maisha yako. Tukutakie jumapili njema yenye baraka
Haya yafuatayo chini ni mashairi ya wimbo wenyewe na chini yake ni video ambayo ilirekodiwa live mwaka 2012.
Shackled by a heavy burden,
'Neath a load of guilt and shame.
Then the hand of Jesus touched me,
And now I am no longer the same.
He touched me, Oh He touched me,
And oh the joy that floods my soul!
Something happened and now I know,
He touched me and made me whole.
Since I met this blessed Savior,
Since He cleansed and made me whole,
I will never cease to praise Him,
I'll shout it while eternity rolls.
He touched me, Oh He touched me,
And oh the joy that floods my soul!
Something happened and now I know
He touched me and made me whole.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...