10 May 2012

Rais Obama Wa Marekani Aridhia ndo za Jinsia Moja.



Baada ya Kanisa la RC kuingia katika Mgongano Mkubwa miaka miwili iliyopita kuhusu Mapadri waliokuwa wakinajisi Watoto katika Nchi ya German, na Kanisa la Anglican Uingereza kuingia katika Mzozo Mkubwa uliozua taftani baada ya kuonekana kuna Mapadri Wanaoridhia ndoa za Jinsia moja kwa kuwa tayari kuna Mapadri wa Anglican ambao wamewekwa kinyumba na Wanaume wenzao, Wakati huo huo masikio bado ya wati wengi yakiwa yanawasha kwa kauli ya mwaka jana na hivi karibuni ya Pastor Chris kuwa "Masturbation Is Not a Sin" hatimaye Rais wa Marekani katika Kutafuta turufu yake katika kujiweka sawa katika kiti cha Urais amesema Ndoa za Jinsia Moja ni Ruksaaaa iwe kanisani, iwe mahakamani, Iwe kokote lakini kwa sasa ndoa za jinsia moja ni haki za Raia wa Marekani.

Kauli hii inamuongezea turufu dhi ya mpinzani wake Mitt Romney, wa chama cha Republican amesema bado anabakia kupinga ndoa za watu wa jinsia moja.

Kauli hii imeliacha kinywa wa Wazi Kanisa la Marekani hasa Wamarekani Weusi waliokuwa wanadhani kuwa "Obama" ni mwenzao.

Obama alipoulizwa analichukuliaje suala hili alisema huku aihusianisha na Maandiko Matakatifu "And that is that, in the end the values that I care most deeply about and she cares most deeply about is how we treat other people and, you know, I, you know, we are both practicing Christians and obviously this position may be considered to put us at odds with the views of others but, you know, when we think about our faith, the thing at root that we think about is, not only Christ sacrificing himself on our behalf, but it's also the Golden Rule, you know, treat others the way you would want to be treated"


Pia ilipotaka kufahamika Mke wake Michelle anachukuliaje jambo hili Obama alisema ""This is something that, you know, we've talked about over the years and she, you know, she feels the same way, she feels the same way that I do"

Hii roho ipo haja ya Kanisa la Tanzania kulitazama kwa jicho la tatu kwa sababu kubwa tatu, hii ni roho kamili ya Kutoka Kuzimu, jambo la pili Budget yetu imekuwa tegemezi sana kutoka nje na tunakumbuka Kauli ya Cameroon Waziri Mkuu wa Uingereza Alisema haya haya tukakataa, Leo ameongea Rais Wa Marekani tutaanza kujiuliza tutapata wapi misaada, tatu kume kuwa na movements za humu humu ndani zenye kutaka Haki za Mashoga na Wasagaji Kutambulika Rasmi.

Mungu atuepushilie mbali.

Papaa Ze Blogger.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...