24 May 2012

Thursday, May 24, 2012

John Mnyika Ashinda Kesi Ya Ubunge, Hawa Ng'umbi Kulipa Gharama Za Kesi


                     Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :
1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)


Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.
John Mnyika Akiwa na Hawa Ng'umbi Leo Mahakamani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...