Mchungaji atamka dawa ya mashogaa wasagaji ni kuuawa!!



Mchungaji Charles L. Worley wa Providence Road Baptist Church, North Carolina, amezua gumzo baada ya video yake kusambaa mtandaoni akielezea jinsi ya kufanya kutatua tatizo la mashoga kwenye jamii…wawekwe kwenye uzio wa umeme waachwe mpaka kufa”

“Build a great, big, large fence — 150 or 100 mile long — put all the lesbians in there,” do the same thing for the queers and the homosexuals and have that fence electrified so they can’t get out…and you know what, in a few years, they’ll die out…do you know why? They can’t reproduce!”

Kweli hata kama hatupendi kuona mashoga na wasagaji wakiendelea na vitendo hivyo, Hii kauli ya mchungaji si sahihi kutumika. Dawa pekee ya kuzuia ni kuacha Dhambi nakumpa yesu Maisha......