| Askofu Dkt. Moses Kulola akizindua rasmi kanisa hilo huku mchungaji Mgonja akishuhudia na maelezo yakitolewa na mchungaji Katunzi. |
| Mchungaji PrayGod Mgonja akisoma Risala kwa askofu mkuu Moses Kulola. |
| Mke wa askofu Kulola akitoa ahadi yake ya laki tano kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa kanisa hilo. |
| Brigedia jenerali mstaafu Hemed akiombewa baraka na askofu Kulola. |
| Kutoka kushoto mchungaji Marego, askofu Willy Matingisa na askofu Bruno Mwakibolwa wakifurahia |
No comments:
Post a Comment