Semina za Mwl Mwakasege nchini Marekani zafana
Mwl
Christopher Mwakasege amekuwa na semina mbalimbali nchini Marekani kwa
wiki kadhaa sasa, kuanzia tarehe 1-3 alikuwa akifanya semina katika
miji ya Dallas na Texas nchini Marekani.Katika semina zote watu wengi
hususani wakazi wa Afrika mashariki wamejitokeza kwa wingi katika semina
hizo.
| Mwalimu Christopher Mwakasege akitoa Semina ya neno la Mungu alipokua Minnesota Nchini Marekani wiki iliyopita |
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye Semina ya Mchungaji Christopher Mwakasege.
Waimbaji wakihudumu kwenye semina hiyo.
No comments:
Post a Comment