15 March 2012

Mbashaz Flora and Emmanuel Waendelea Kufanya Kweli Marekani

Wanamuziki wa Injili Wa Kitanzania walio katika Ziara nchini Marekani Flora Mbasha pamoja na Emmanuel Mbasha wameanza vizuri Ziara yao nchini humo kwa kutembezwa  Saint John's Episcopal of Arlington, MA. na baadae kupiga kazi kwa Wanafunzi katika Shule ya Shay Hill.


Wakilonga na Blog kutoka nchi hiyo ya Mbele Mbashaz wamesema kwa sasa wako Boston na wiki ijayo watakuwa Washington DC kupiga kazi kama kawa. Pia wamelonga Event yao ya Masaa machache yaliyopita katika Shule ya Shady Hill imebamba kupita maelezo.


 Emmanuel Mbasha akimpiga Signature Mtoto wa Watu aliyetaka aandikwe usoni kwenye paji la uso.
hapa walikuwa na mpiga gita mzuri sana wa jazz anaitwa John. ndiye aliyepiga nyimbo zangu zote live wakati wa perfomance hapa Boston
 hii ni band ya jazz iko Boston, walishiriki pia kwenye tamasha na walinipigia nyimbo moja live kwa style ya jazz.
                         Hii Kitu Ilikuwa ni Juzi Kati Katangazo ka Kishikaji kaliwekwa hapo
                                                    Emmanuel Mbasha kama Maximo vile
 Huyu Jamaa akiwa bongo tu Kawiva je huko na haya madude yake ya Azam anayoyapiga Huko huko

                                Kwa Kweli kama Msikiti basi Umepata Imam
                                     Huyu Jamaa Sijui Kama atarudi kwa kweli
                                   Flora Mbasha akipiga Signature kwa Wanafunzi
                                                              Kitu Nyomiiiiii

                                            Kaaaazi Ni Kwako

 Flora akipokea zawadi kutoka kwa Wanafunzi wa Shady Hill
 Tehe tehe Wakampa picha ya Nyumba za Tanzania, hawa hawajaona nyumba za Masaki hawa.
                                                Mwanawane akiwa Busy kupiga signature

Blog Inawatakia Ziara njema kwa kazi yao huko.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...