04 April 2012

Wednesday, April 4, 2012

Africa Gospel Music Awards Kufanyika 7, July, 2012 Mjini London

Tarehe 21 April, 2012 majina Ya Nominees kwa ajili ya Africa Gospel Music Awards yatatolewa Rasmi kwa ajili ya kuelekea kwenye Mchakato wa Kutoa tuzo hizo za Mwaka 2012 ambapo Usiku wa tarehe 7 July, 2012 tuzo hizo zitatolewa rasmi katika Ukumbi wa The Hippodrome.


          Huu Ndio Ukumbi Utakaotumika kwa ajili ya Africa Gospel Music Awards mwaka 2012
 Ndani Ya Ukumbi Kunavyoonekana huku Wataalam wa Set Up Wakiendelea kuweka Mambo Sawa
                                                                     Kwa Juu
                                                                        Kitu Mixer
                                            Baadhi Ya Tuzo zitakazotolewa kwa Washindi
                      Kama Kawaida Mkali wa Tuzo za Mwaka Jana Sonnie Badu atakuwepo
   Mkali wa Nyimbo za Kuabudu Erika Lynn atafanya performance Live On the Stage.
 Emmy Kosgei Kutoka Kenya akiwa amepiga Kimasai atakuwepo Live ndani ya Africa Gospel Music Awards.


Mwaka Jana Christina Shusho aliingia katika Kinyang'anyiro hiki katika Africa Gospel Music Awards na Blog ilifanya Interview mwaka jana na Shusho.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...