27 April 2012

Friday, April 27, 2012

Friends On Friday Arusha Yaanza Kwa Kishindo

Hayawi Hayawi Leo Yamekuwa, Katika hotel ya Charity maeneo Ya Sakina Friends On Friday Arusha imeanza Kwa Kishindo Kikubwa. Sifa na Utukufu ni Kwa Mungu Baba aliyewezesha shughuri ya Siku ya Leo.

Kama FOF   Dar ilivyoanza na mtupio RED, leo Mtupio ulikuwa wa Red ambao Ulinogesha shughuri nzima.

Burudani ya FoF Arusha ilikuwa chini ya Bendi ya Gospel Band yenye maskan yake Mjini Arusha. Kama Kawauda Mc Wa Shughuri alikuwa ni Mc Pilipili Ya Shughuri Zao la Friends On Friday ambaye alinogesha shughuri ya leo.

Comedian Crown Chavalla kama Kawaida alionesha Ukongwe Katika Comedy siku ya Leo.

Kwaito kama Kawaida na Masebene yalikamata Mbayaaaaa Sifa na Utukufu ni Kwa Mungu aliyefanikisha FoF Arusha;

Nenda nami katika Picha Za Matukio Ya Siku Ya Leo.


 Live Band Arusha
 Screen Ya Tukio ndani ya Green Garden
 Viti Mtupio Red.
 Faith Mngodo Mdau Wa Blog akiwa ametupia
 Kamati Ikiwa Inaenda Sawa Katika Eneo La Tukio
 Wadau Wakiwa Wanawasili eneo la Tukio
 Mwanangu Arusha Kuna Mishikaki unakuja Unapata Mishikikaki huku event inaenda.
 Wadau Wa FoF
 Wadau Wakifanya Mistari kwa ajili ya Mishikaki
 Hii Mishikaki ni Balaaaaa
 Prosper na Huyu Jamaa Walipotezana miaka 10 iliyopita wakiwa Tabora FoF Ikawakutanisha
 Coordinator wa FoF Arusha Kushoto akiwa na mkewe Glory na Prosper ndani ya FoF
 Wadau Ndani Ya FoF
 Wadau Wa FoF
 Wadau Wa FoF Toka Dar, Edna Luvanda, Renee na Chavalla
 Wadau Wakiwa Wanajiandikisha wakati wa Kuingia
 Wadau Wa Blog Wakiwa ndani Ya FoF
                        Full Mitupio
 Mishikaki
 Kitu Kama Kawa Ndani Ya FoF
 Kama Kawaida Mc Pili Pili alifunika Mbaya
 Inspiration Talk Kama, Twisa akiwa Pastor Yona
Bloggers Wakiwa Busy na Kazi.
Papaa na Mke wa Egra Bavuma
 Papaa na Dr Anorld 
 Mwendo Wa Kwaito
 Papaa na Dr. Mosses Shilla Ndani Ya FoF
Wadau Wa FoF Arusha.
 Papaa na Joyline Mtokambali Mtoto wa Bishop wa TAG
 FoF Kama Kawa
 Mtu na Mkewe Wajamuweka Papaa Mtu Kati
 Faith, Papaa, Neema and Faida
Akaongezeka Uncle Jimmy na Pilipili

You might also like:

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...