25 April 2012

Tete Runinga Mdogo Wa Chibalonza Anayeziba Pengo la Dadake


Mwanamuziki Kutoka Kenya Mwenye Asili ya Congo Tete Runinga ambaye ni mdogo wa Marehemu Angela Chibalonza anasadikika ndiye anaweza kuja kuziba pengo la marehemu dada yake Chibalonza katika Muziki wa Injili, hasa ukisikiliza wimbo alioachiliawa "Nakuinua".
Tete aliyeanza kuimba miaka ya 2000 na kuimba mara kadhaa pamoja na dada yake amedondosha Wimbo wa Nakuinua ambapo amefanya Collable na Alain Musaka uko kwenye mahadhi ya "Zuku Rhumba" ambayo imepigwa kwa ustadi mkubwa.
Habari za Kina kuhusu Tete Runinga Nitawaletea punde kwenye blog hii hii.
Sikiliza Wimbo wa Tete wenye Jina la Nakuinua.
Huu Ni Wimbo Wa Tete
                                                                 Wimbo Wa Tete Runinga Nishike Mkon.
                                                        Ninataka Kuwa Pamoja Na Wewe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...