10 April 2012

Tuesday, April 10, 2012

Maelfu Wajitokeza Kumzika Kanumba

Mazishi ya Nguli wa Filamu Tanzania Steven Kanumba yamefanyika siku ya leo katika Makaburi ya Kinondoni alasari hii.

Kabla ya Mazishi zoezi la Kuona sura ya mwisho lilishindikana baada ya Umati Mkubwa uliojotokeza siku ya leo kuuaga mwili huo. Ndipo zoezi la Kuelekea Makaburini likaanza kuratibiwa majira ya Mchana.

Mwili wa Marehemu umelazwa kwa amani katika Makaburi Ya Dar-es-Salaam Kinondoni kama maelekezo ya familia yanavyoonesha.


                                            Jeneza likiwa tayari kwa ajili ya Mazishi.
                    Sehemu Ya Umati wa Watu Ukiwa Umekusanyika Uwanjani Leo
 Sehemu Ya Watu
 Gari Iliyobeba Mwili wa Marehemu Ikiwasili Eneo la Tukio
 Barabara Ya Kinondoni Ikiwa Hapitiki Siku Ya leo.
 Upaparazi ni Kazi Sana.
 Wasanii wa Tasnia ya Filamu Wakiongoza Msafara
 Jeneza Likiwekwa sehemu Usika na Marafiki wa Kanumba
 Kulia ni Asha Baraka Mmiliki wa Twanga Pepeta akiwa na Mama Wa Kanumba
 Kwaya ya Neema Gospel Wakiimba LEo Kwenye Msiba, Kwaya hii ndiyo aliyokuwa akiimba Kanumba
Mhe wa Mbeya Mjini. Sugu akipiga Salute mbele ya Mwili wa Marehemu
 Waziri Membe akipiga Ishara Ya Msalaba mbele Ya Mwili wa Marehemu
Mwili Ukiwa Umebebwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...