06 February 2012

LINAH SANGA NI MSANII WA BONGO FLAVA, LAKINI CHANZO CHA MAFANIKIO YAKE NI KUTOKEA KANISANI, NA LEO ANATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WAZAZI WAKE
KAMA MKRISTO WA LEO- UNA MAONI GANI JUU YA DADA HUYU MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA KUTOKANA NA KARAMA ALIYOPEWA NA MWENYEZI MUNGU. TUMA MAONI YAKO KWA EMAIL HII rumatz2011@yahoo.com NA SISI TUTAYARUSHA KATIKA BLOGU HII
Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Linnah Sanga a.k.a Linnaha akiwa na wazazi wake Bw&Bibi Sanga pamoja na rafiki yake ajuliakanaye kwa jina la Lulu (wa kwanza kulia aliyemkumbatia mama Linnah) nyumbani kwao jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...