Pages

18 May 2013


Glorious Worship Tour...Tunamshukuru Mungu kwa Neema yake,anazidi kufungua Milango ya Huduma...tunaanza rasmi Tour yetu nchini KENYA.week ijayo tutakua tunaelekea Mombasa kwa ajili ya nia Moja tu,kumtumikia Mungu...Asante kwa Maombi yako mwana familia wa Glorious....
I'm proud of my lovly Team 'Glorious'.. Nafurahi kukanyaga Kenya Mara nyingine ikiwa na New President!!!

No comments:

Post a Comment