Pages

10 June 2012

Worship Experience Season 2 (Temeke na Ilala)


Kama kawaida leo Katika katika Hotel Ya Atriums maeneo Ya Sinza Africasana limefanyika tena shindano la Kusaka Kipaji Cha Mwabudishaji katika Wilaya ya Ilala na Temeke na Washindi 18 wamepatikana 9 kutoka wilaya ya Ilala na 9 kutoka Temeke.

Blog ilikuwepo kuwasilisha kama Kawaida.
 Kambi Popote Mwana Blogger akiwa kazini
 Blogger Akiwa anawasili eneo la tukio Ku run show nzima
 Pastor Akiongea na Washiriki
 Papaa Ze Blogger aki run show
 Mshiriki Namba 1 akishiriki huyu alivuka round
 Mshiriki namba 2 huyu hakuvuka
 Ma Judge kushoto ni Angela Benard akiongea, Emmanuel Mabisa, Happiness na Lwiza
 Emmanuel Mabisa akiongea kama Judge leo kwenye event.
 Happiness aki Jusge, Lwiza akisikiliza, Mabisa na Angela wakiandika
 Mbeba Maono ya Worship Experience na Main Sponsor a.k.a Bilionea akiwa na Judge wa Kiume
 Kamera Man akiwa Kikazi zaidi
 Twende Sawa
 Blogger Rulea akiwa Kikazi zaidi
 Washiriki Wakisalimiana
 Watu wakiwa Wanahojiwa

 Washiriki Wakisikiliza Maelezo.
Without Caption

No comments:

Post a Comment