Pages

05 June 2012

Semina za Mwl Mwakasege nchini Marekani zafana

Mwl Christopher Mwakasege amekuwa na semina  mbalimbali nchini Marekani kwa wiki kadhaa sasa, kuanzia tarehe 1-3 alikuwa akifanya semina katika miji ya Dallas na Texas nchini Marekani.Katika semina zote watu wengi hususani wakazi wa Afrika mashariki wamejitokeza kwa wingi katika semina hizo.
Mwalimu Christopher Mwakasege akitoa Semina ya neno la Mungu alipokua Minnesota Nchini Marekani wiki iliyopita
 Watanzania waliojumuika pamoja kwenye Semina ya Mchungaji Christopher Mwakasege.
 Waimbaji wakihudumu kwenye semina hiyo.

No comments:

Post a Comment