Pages

04 June 2012

GLORIOUS CELEBRATION WAKIMWIMBIA MUNGU KATIKA MKESHA WA KANISA LA KATOLIKI WALIOOKOKA MAARUFU KAMA CARISIMATIKI.
 Vijana walioamua kufanya kazi ya Bwana, Glorious Celebration wakiwa madhabahuni pa Bwana
 Mercy akiiumba wimbo wa Niguse
 Alexm Kisongo akiutumia vyema ujana wake kwa kazi ya Bwana
 Aron alijikita katika kumuimbia Bwana kwa style ya sebene
 The MD, Emmanuel Mabisa akiwaimbia wapenzi wa GC wimbo wa Niguse
 Baadhi ya wanachuo
 Paul alipowagusa watu kwa wimbo wa Usielala wa Ephraim sekeleti ambao uliwafanya wanavyuo kutoa machozi
GC wakiwa katika uwepo wa Bwana na "Usielala"
 Baadhi ya waimbaji kutoka vyuo mbalimbali

No comments:

Post a Comment