Pages

06 May 2012

Sunday, May 6, 2012

Kongamano la wachungaji na Viongozi wa kanisa lamalizika nchini Marekani



Pastors and leaders conference ni kongamano kubwa linaloandaliwa na mtumishi wa Mungu Askofu Thomas Jakes na kuhudhuriwa na wachungaji mbalimbali pamoja na viongozi  wa makanisa tofauti tofauti ulimwenguni.Kwa mara ya kwanza Askofu Jakes alianzisha kongamano hilo mwaka 1995 akiwa na lengo la kuzungumzia changamoto zinazoligusa kanisa na namna ya kuzitatua.Kwa mwaka huu kongamano hili lilikuwa likifanyika nchini Marekani kuanzia tarehe 3May-5may 2012.

Wanenaji wakuu katika kongamano hilo walikuwa ni
Askofu Thomas Jakes
Bishop Tudor Bismark kutoka Zimbabwe
Bishop Noel Jones

Bishop Td Jakes akifanya maombezi katika kongamano hilo

Bishop Noel Jones akizungumza siku ya pili ya kongamano hilo

Sarah Jakes mtoto wa Td Jakes akifanya interview na mmoja wa wanasemina wa Kongamano hilo
Watumishi wakiwa uweponi

No comments:

Post a Comment