Pages

05 May 2012

Saturday, May 5, 2012

Aflewo 2012 Next Level

Zikiwa zimepita dakika chache tangu Mkesha Mkubwa wa Aflewo 2012 umalizike blog inakuletea matukio mbali mbali yaliyojiri katika Mkesha huo wa siku hii ya leo yaliyojiri pale CCC Upanga.


Mkesha huo ambao umekuwa wa baraka kubwa ulikusanya umati Mkubwa wa Watu kutoka kona mbali mbali za Jiji la Dar-es-Salaam.


Akiongea katika Mkesha Huo Pastor Safari alisema ipo haja sasa kwa Aflewo kuingia Zanzibar ambako pia wamekuwa na uhutaji Mkubwa wa mambo kama hayo. 


Baada ya maono hayo baade Pastor Abel ambaye naye ni Mlezi wa Aflewo Tanzania alieleza kuna Mtu ameguswa kusafirisha Praise Team 70 kwa ajili ya kwenda Zanzibar wakati utakapokuwa umefika kwa ajili ya Aflewo.


Akihubiri katika Mkesha huo Pastor Deo Lubala alisema Katika Kila Level Ya Mkristo kumtumikia Mungu katika Kutimiza Kusudi zipo changamoto zake ambazo inawapasa Wakristo kusimama Imara kama Paulo na Sila.


 Mapambo yaliyokuwa Mbele kabisa yakionesha Tukio na Theme na Mwaka.
 Hapa ni Upande wa Reception yaani ukiwa unaingia 
 Mc wa Event Papaa Ze Blogger akiwa Kikazi Zaidi
 Watu wakienda Sawa
 Mass Choir
 Kikazi Zaidi
 Hawa ni Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Ya Maandalizi
 Ndani Ya Uwepo
 Mbele Za Bwana
 Pastor Safari akiongea Usiku wa Jana
 Mmoja wa Wabeba Maono ya Aflewo kutoka Kenya Mr. Kaberia
 Pastor Safari akiwa na John Kagaruki siku ya leo.
 Wazee Wa Masauti "The Voive" ndani ya Aflewo
 Pastor Deo Lubala akihubiri kwenye Mkesha Wa Aflewo
Watu Peopleeee.
Pastor Abel na Pastor Lubala Wakimlingana Bwana.

No comments:

Post a Comment