Pages

22 May 2012

Rose Mushi na "A Lady With A Difference Conference"At Winners Chapel

Wiki Iliyopita Blog ilitupia Mwaliko wa Semina ya Vijana Hususan akina Dada Iliyokuwa ikifanyika katika Kanisa la Winners Chapel Mitaa ya Ukonga, ambapo Mwanadada "Jembe" Rose Mushi alikuwa akifundisha somo la "A Lady With Difference".

Rose ambaye amekuwa Mtumishi kwa Muda mrefu amekuwa na Mzigo na Vijana hasa Mabindti katika Kuwajenga na kuwaimarisha hasa wakigundua "Thamani Ya Mwanamke" na Pia Kumuandaa kwa Maisha yajayo.

Jumamosi ya Tarehe 19 May, 2012 Mwanadada Rose Mushi alifunguka kwa Kuwaeleza Mwanamke wa Kibiblia vile anavyopaswa kuwa na namna ya Kujifunza Kusubiri na Kuwa Mwanamke Mwenye tofauti katika Dunia.

                     






 Rose Mushi akihudumu Jumamosi
 Akiita Uwepo
 Ngoma ndo ilikuwa inaanza namna hii
 Nyomi la Watu
 Rose akisubiria kuingia Ulingoni, mwenye Kaunda Suti ni Pastor mwenyeji Pastor Philip
 Hapa ndo huwa ananimaliza na Miondoko ya Kinaniiii
Watu wakiwa Wanajiweka Sawa.


Blog inampa Big Up Sana Rose Mushi

No comments:

Post a Comment