Pages

22 May 2012

Breaking News.......... STARA THOMAS KUINGIA NDANI YA GAME YA GOSPEL

Muimbaji Mkongwe wa Bongo Flavor ambae Mwaka jana mwezi wa Tatu aliamua kumpokea Bwana Yesu kuwa mokozi wa Maisha yake Stara Thomas siku ya leo ameingiza Albamu yake ya kwanza mtahani inayokwenda kwajina la "Nani ni Mshamba"

Albamu hiyo yenye Nyimbo takribani kumi 1}Nani ni Mshamba? 2}Petro 3}Safari ya wanaisraeli 4}Niambie 5}Yesu alipokuja 6}Hauna jibu 7}Soma biblia 8}Jesus you are the hero 9}Nani ni mshamba [rmx] 10}Niambie [rmx]

Kwa sasa Albamu hiyo anaisambaza mwenye,kwa mahitaji waweza kuwasiliana nae kwa Simu namba +225 718 030 411.
Nyuma ya Kasha la Albamu

Akiongea na Blog hii amesema huu ni mwanzo watu wakae mkao mzuri kupokea nyimbo nzuri kupitia Band yake itakayo kuja Soon.Kwa sasa Stara Thomas yupo chini ya Kanisa la Shalom Church liliopo Kunduchi dar es salaamu
BLOG Hii inakukaribisha sana katika ulimwengu wa Gospel.hakika hautajutia Maamuzi yako Dada Stara,Mungu ni Mambo yote katika yote!255717025328     mabisatz@yahoo.com

No comments:

Post a Comment