Pages

15 April 2012

RUACH WORSHIP TEAM WAMEZINDUA ALBAM YAO YA KWANZA KATIKA KANISA LA T.A.G BETHEL ARUSHA KIJENGE.

GLORIOUS CELEBRATION WALIWASINDIZA MARAFIKI ZAO RUACH KWA UIMBAJI.
Waimbaji wa nyimbo za injili Tanzania waliounda kikundi kinachoitwa  Ruach Worship Team wamezindiua albamu yao ya kwanza katika kanisa la T.A.G Bethel lililoko Arusha Kijenge tarehe 14/04/2012.

Kikundi hiki kiliundwa 2010 kikiongozwa na mtumishi na mwimbaji maarufu sana wa nyimbo za injili Ombeni Godwin ambaye ameimba na marehemu Fanuel Sedekia.

Uzinduzi huo ulipambwa na waimbaji mbalimbali kama Glorious Celebration, Kwaya ya Ebeneza na wengine wengi

Ruach Worship Team wanawaomba Watanzania na ulimwengu mzima kununua DVD na Audio CD na kuona kazi waliyoifanya ya kumtukuza Mungu.

Lengo lao kubwa ni kukuletea ujumbe wa Mungu kwa njia ya uimbaji. Mbali na hapo wapo tayari katika mialiko yoyote.

Glorious Celebration 

Hakutakuwa na kiingilio chochote na muda wa kuanza ni saa 10:00pm katika kanisa la T.A.G Bethel.

DVD yao ina nyimbo zifuatazo:
1. Nionapo Amani
2. Yesu Mfalme
3. Anaweza
4. Twakupa utukufu
5. Uinuliwe
6. Bwana umeinuliwa
7. Mji wa Mwangaza
8. Wewe ni Alfa na Omega
9. Kwa Yote

Tunawaomba wakazi wa Arusha kushiriki nasi katika uzinduzi huu. Mungu atakubariki

Kama utahitaji DVD au Audio CD, wasiliana nasi kwa
+255 785 112244
+255 714214364
+255 767 033871
Email: godwin.ombeni@yahoo.com

Pia unaweza kuwasilia moja kwa moja na waimbaji waliunda kundi hili la Ruach Worship Team kwa namba zao za simu hizo hapo chini:-

Godwin Ombeni 0754 835145
Salvatory Nyangasi 0714 214364
Andrew Msegu  0713 033871
Lightness Johnson 0786 267163
Emmanuel G Tarimo  0712 350569
Helen Mrema 0716824015
Eunice Anderson 0655 9838857
Malaki Mbise 0768 554892
Dorice Malembela
Flora Luhanga 0714 736660
Neema Mlangida  0752 422441
Remina Nyungula 0788 182730
Berly Diah 0787 878796



MAMBO YANAVYOENDELEA KATIKA UZINDUZI WA ALBUM MPYA YA RUACH WORSHIP TEAM
Senior Pastor Olosos (wa pili kulia) wa kanisa la TAG Bethel
 Glorious Celebration wakimtumikia Mungu katika kanisa la TAG Bethel kabla ya Tamasha
Baadhi ya waimbaji wa Glorious Celebration wakishirikiana na waumini wa Bethel katika ibada ya jumapili
Glorious Celebration wakipata Braekfast iliyoandaliwa na kanisa la Bethel
Mwimbaji wa RUACH Worship Team Lightness Johnson akipata chakula baada ya ibada ya pili
 Glorious wakipata chakula cha mchana katika kanisa la TAG Bethel Arusha

Glorious Celebration wakiwaimbia watoto baada ya chakula cha mchana

 Watoto wakimchezea Mungu kanisani wakati Glorious Celebration wakiimba baada ya chakula cha mchana 
 Wimbaji wa Ruach Worship Team wakiwatizama waimbaji wa Glorious Celebration
 Mwimbaji wa Ruach Worship Team na ni kiongozi wa Team hiyo, Ombeni Godwin akiwa na tabasama, na kumfurahia Mungu kwa makuu anayoyatenda
 Baadhi ya waumini wa kanisa la TAG Bethel wakimchezea Mungu kanisani wakati wa ibada
 Ruach Worship Team wakiwa madhabahuni kabla ya tamasha lao kuanza



 Mtumishi wa Mungu wa kanisa la TAG Bethel, mzee Mbilla akiwa na furaha wakati wa praise and worship

 Emmanuel Mabisa akiimba wimbo wa Niguse


 Waimbaji wa Glorious Emmanuel Mabisa (kulia) na Emmanuel Malisa (kushoto) wakiwa na marafiki zao baada ya kutoka katika ibada ya pili 

 Blogger, Graphic Designer na meneja masoko wa Glorious Celebration, Rulea Sanga (kulia) akiwa na mwimbaji wa Glorious Celebration, Aron
 Waimbaji wa Glorious Celebration, kutoka kulia ni Aron, David na mpiga drums

No comments:

Post a Comment