Pages

16 April 2013

Mpiga Bass Wa Glorious Worship Team avamiwa na Vibaka na Kujeruhiwa.

Mwanamuziki anayepiga bass guitar katika kundi la GWT mwenye Jina la Emmanuel almaarifu ImmaBass amevamiwa na vibaka usiku wa jana alipokuwa njiani kuelekea nyumbani akitoka kwenye mazoezi.

Taarifa ambazo blog imezipata ImmaBass alikimbizwa katika hospital ya Kairuki na Kushonwa nyuzi 8 usoni. ImmaBass alipata majeraha hayo alipokuwa akipambana na vibaka hao waliokuwa wamemvamia.

ImmaBass kwa Sasa anaendelea vizuri, unaweza kushiriki kwa kumuombea pia, na sms ya faraja ama Tigo Pesa 0717561351.

No comments:

Post a Comment