Pages

12 June 2012


Tuesday, June 12, 2012

Gospel Lyrics-Nafsi yangu Usichoke by Marion Shanko


Marion shanko kushoto akiwa na Miriam Lukindo

Chorous
Nafsi yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana
Alihadi atatenda, mtumanie Bwana

Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
Roho yangu nafsi yangu, mtumainie Bwana

Verse1
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema

Aliahidi atatenda, mtumainie Bwana

Verse 2:
Mawazo yake sio yetu, njia zake si kama zetu
Mbingu zilivyo juu ya nchi,mawazo yake ni makuu
Ataagiza fadhili zake, wimbo wake kwangu usiku
Sifadhaike usiiname, mtumainie bwana 
(Chorus)


You might also like:

No comments:

Post a Comment