Jikubali vile ulivyo hakika utafanikiwa na utarudi kutoa ushuhuda,Tafadhari uwe kama wewe,usipende kujifananisha na Mwingine,jitahidi kwa juhudi zako mwenyewe Huku ukimuomba Mungu ili uweze Kufanikiwa....Mungu akubariki kwa kunisikiliza tutaendelea kusaidiana kadili Bwana Yesu atakavyozidi kunipa Hekima na Maarifa Haya.www.mabisatz@yahoo.com
Pages
▼
23 May 2012
Ukifanya kazi kwa bidii katika kila eneo ambalo upo bila kukata Tamaa hakika utafanikiwa...Mafanikio hayaji tu kwa kukaa Inuka amua,kufanya kile Ambacho unaona kinaweza kukuweka katika mwelekeo mzuri katika Maisha yako.Huyu DADA Mzuri hakutokea tu akawa Lulu kwa Hawa watu waliomzunguka kila Mtu anataka angalau apate picha yake,kwa sababu ana kitu na sababu ya wao kulazimika kuchukua Habari zake,ili wawe na kitu cha kuandika kulingana na Mafanikio yake,ili yafanyike somo kwa wengine....
Jikubali vile ulivyo hakika utafanikiwa na utarudi kutoa ushuhuda,Tafadhari uwe kama wewe,usipende kujifananisha na Mwingine,jitahidi kwa juhudi zako mwenyewe Huku ukimuomba Mungu ili uweze Kufanikiwa....Mungu akubariki kwa kunisikiliza tutaendelea kusaidiana kadili Bwana Yesu atakavyozidi kunipa Hekima na Maarifa Haya.www.mabisatz@yahoo.com
Jikubali vile ulivyo hakika utafanikiwa na utarudi kutoa ushuhuda,Tafadhari uwe kama wewe,usipende kujifananisha na Mwingine,jitahidi kwa juhudi zako mwenyewe Huku ukimuomba Mungu ili uweze Kufanikiwa....Mungu akubariki kwa kunisikiliza tutaendelea kusaidiana kadili Bwana Yesu atakavyozidi kunipa Hekima na Maarifa Haya.www.mabisatz@yahoo.com
No comments:
Post a Comment