Pages

21 May 2012

Shindano La Worship Experience Kulindima Jumamosi 26 May, 2012 Atriums Hotel


Wakihojiwa na mtangazaji wa Wapo Radio Joyce, wamesema kwa neema ya Mungu wamejipanga vizuri katika kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa haki. Mchungaji Charles Mbogoma amehimiza watu kufika kwa wingi siku ya jumamosi tarehe 26 Mei 2012 katika hoteli ya The Atriums iliyoko Sinza Afrikasana Dar es Salaam.

Naye Blooger Rulea Sanga amesema anahakikisha matukio yote yatakayokuwa yanatokea yatarushwa katika mitandao mbalimbali na katika radios naTV. Amesema kwa sasa unaweza kutembelea katika blogu hizi www.rumaafrica.blogspot.com au www.tanzaniaworshipexperience.blogspot.com  www.mabisatz.blogspot.com
Makalanga alisema unaweza kujaza form ambazo zipo katika ofisi ya Unversal Inc maeneo ya Posta au ingia katika blogu ya www.tanzaniaworshipexperience.blogspot.com
 Mmoja wa judges, Emmanuel Mabisa
 Mtangazaji wa Wapo Radio, Joyce
IT na blogger Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto
                                                  Mchungaji Charles Mbogoma
 Mwenyekiti, Mkalanga

JAZA FOMU HII KUJIUNGA
TAFADHALI TUMA BARUA PEPE KWETU YENYE MAJIBU YA MASWALI YALIYOULIZWA HAPO CHINI:
NB: Soma kwa makini na ukishasoma nakili mahali fulani majibu yako na utume kwetu kwa kutumia barua pepe hizi hapa chini: Tafadhali tuma majibu yako kwa barua pepe (email) zote hapo chini. Unaweza kubofya katika email mmojawapo na ukaanza kujaza fomu yako. Angali mfano hapo chini ya maswali.
1. JINA LA KWANZA----------------------
2. JINALA LA UKOO---------------------
3. ANUANI YAKO------------------------
4. NAMBA YA SIMU--------------------
5. UMRI--------------------------------------
6. JINSIA YAKO-------------------------
7. TAREHE YA KUZALIWA: TAREHE-----MWEZI---MWAKA
8. KANISA LAKO-----------------------
9. JINA LA MCHUNGAJI WAKO-----------------------
10. ANUANI ZA MCHUNGAJI WAKO:
      SIMU-----------BARUA PEPE--------------------
11. UMEOKOKA?: NDIYO:--------HAPANA:----------
12. LINI UMEBATIZWA?:
      TAREHE-------MWEZI------MWAKA
13. LINI UMEJAZA ROHO MTAKATIFU?:
      TAREHE------------MWEZI----------MWAKA
14. UNAJUA MAANA YA KUABUDU:
      NDIYO----------------HAPANA----------
15. MKOA UNAOTOKA-------WILAYA-----
Sasa tuma majibu yako kwa tumia barua pepe hizi:
mose_makalanga@yahoo.com
info@makerzltd.comrumatz2011@yahoo.com 

No comments:

Post a Comment