Pages

21 May 2012

Monday, May 21, 2012

Jehova Yu Hai Tour "Watupia" Ndani Ya ICC-Nairobi

Neno "Mtupio" lililotafsiriwa kutoka kwenye Kiingereza "A Touch Of..." na kuanza kutumika sana kwenye Events za Friends On Friday, kwa Kiswahili Chepesi "Mitandio" Weekend hii katika Kanisa la International Christian Center-Nairobi almaarufu ICC mitupio ndio ilikuwa imetawala katika event hiyo.


 Mwanamuziki Wa Injili Kutoka Tanzania John Lisu ambaye yuko kwenye Tour Ya Jehova Yu Hai Nchini Kenya ameendelea kuwa Baraka katika Nchi hiyo Jirani. John Lisu aliyeenda na Kikosi kizima Cha Kazi Wameiambia Blog Hii kuwa Mungu Kwa ni Mwema kila ambapo wamekuwa wakisimama.


Blog iliongea na John Lisu na haya ndiyo aliyoyasema "Tour Yetu imekuwa ya Baraka Sana katika Nchi ya Kenya, Tunamwamini Mungu katika Lile Kusudi aliloliweka ndani yetu kwa ajili ya Nchi ya Kenya, tumeona watu mbalimbali wakifunguliwa kupitia Huduma hii ya Uimbaji, Jina La Bwana Libarikiwe" alimaliza John Lisu.

 Pastor Philip Mwenyeji wa Kanisa la ICC akiwa anapokea dozz na yeye kutoka Kwenye Kiti cha Enzi.
 Hapa "Mitupio" Ikiwa iko kazini.
 Hapa kama kawaida Watu Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 Shuka Chini, Chini, tena, Shuka Shuka, Pandaa Pandaaaa
 Wazee Wa Vocal Naona wako Kazini "Backers"
 Hapa kama Kawaida.
 Rafiki Yangu Kiberia, mmoja wa founders wa Aflewo Africa akiwa anaongoza Jahazi.

Daniel Bassist naona akiwa na Mtupio akienda sawa, Kwa mbaaali Nyuma anaonekana Amani Kapama Mpiga drums za Aflo lake huku akiwa ametupia shingoni. 

 John Lisu nae akiwa ametupia.
 Huku Lisu Huku Bombi Johnson.
 John Lisu akienda Sawa.
Mitupio Kazini.

No comments:

Post a Comment