Pages

04 May 2012

Masaa Machache Kuelekea Big Event Ya Aflewo...Setting and Sound Check Up Yakamilika.....

Mara nyingi kumekuwa na Kasumba wa Matamasha na Events mbali mbali za Kikristo kutokuwa na Mziki Mzuri wa siku hiyo, matamasha mengi watu wamekwenda pasipo kukata viu vyao sababu ya Sound Kwa Kuzingatia hilo Kamati ya Aflewo wame invest katika Sound ili Uwepo Usiingiliwe na tatizo la Sauti.

Mchana Wa leo Chombo kilikuwa Kimekamilika kwa ajili ya huduma ya usiku wa Leo Mkesha Mkubwa wa AFLEWO.




 Hii ni Seti Moja Wa Speaker Itakayotumika siku ya Leo.
 Kwa Nyuma kwenye "Kachumba" ndipo Mpiga Drums atakakokuwa siku ya leo.
 Upande Mmoja Wapo Utakaotumika siku ya leo kwa watu Kukaa ni Juu na Chini
 Hili ndilo eneo la tukio
 Upande huu zinaonekana Speakers na Microphone za Backers
 Waoiga Vinanda Watakaa hapo Katikati na Kwa Nyuma atakaa Mpiga Gitaa la Solo, na Upande wa Kushoto kuna Microphone zingine za Backers, na kwenye Kichumba ni drums
 Upande wa pili Microphone za Backers Pia Zitakuwepo, mbele ya Screen Kubwa ambayo itatumika kwa Uimbaji
 Hapa ni Mpiga Bass na Tumba na Kinanda, pembeni Kulia ni Monitor speaker ya Kujisikilizia.
 Chini zinaonekana Monitor speakers zitakazotumika leo.
 Set ya Upande Wa Pili
 Jukwaa linavyoonekana Kwa Pembeni
 Bass Speakers
 Mid Speakers
 Full Range.
 Stage Kwa Mbali na Juu ya Stage Kuna Speakers Monitors za Kujisikilizia
 Stage Itakavyokuwa leo kwa Mbaliiiii
Set Up

No comments:

Post a Comment