Pages

24 May 2012


Friends On Friday kama Ilivyo Ada Katika Mikoa Mitatu Tofauti.

Dar-es-Salaam
Matayarisho yamekisha Kaa Sawa, Ijumaa Ya Kwanza Ya Mwezi June 2012. Theme Ya Mwezi huu "FoF Kitu Kati" Tarehe 1 June, 2012 Mwezi tunaugawa Kati Kati tangu tumesheherekea Mwaka Mpya. June 1 ni Kati Kati Ya Mwezi. 


Dar-es-Salaam


FoF Ya Mwezi June, ni Full Celebration.


Eneo La Tukio Pale Pale Tamal Hotel.


Saa ni 12:30 Jioni Mpaka 4 Usiku


Kiingilio; 15,000


Mtupio: Gold.

Mbeya


Tarehe 25 May, 2012


Eneo La Tukio Metro Cuisine Hotel


Saa 12:30 Jioni Mpaka saa 4 Usiku.


Kiingilio Shilingi 10,000


Mtupio. Black and Yellow

Arusha



Eneo la Tukio Charity Hotel


Saa 12:30 Mpaka Saa 4 Usiku


Kiingilio Shilingi 15,000


Mtupio: Yellow

No comments:

Post a Comment