Pages

20 March 2012

Tukiwa ndani ya Yesu, sisi ni viumbe vipya!


Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! yamekuwa mapya” 2 Wakorintho 5:17

Kila aliye ndani ya Kristo. Amekuwa kiumbe kipya kwa imani, Sisi tuliookoka ni viumbe vipya, Sio wale wa zamani kabla hatujampokea Bwana Yesu, Utu wetu wa zamani umekufa, tumevikwa utu mpya! Je, unaendeleaje ndugu? Utu ule wa zamani au kwa utu mpya uliovikwa?

No comments:

Post a Comment