Pages

21 March 2012

NGUBEKO NA WEWE???JAMANI JOYOUS CELEBRATION...

Wednesday, March 21, 2012

Nqubeko Mbatha --Music Director Ajitoa Joyous Celebration

                                                 Ngubeko ndani ya JC 16 Recordings 

Zikiwa zimebaki siku 12 Ili Joyous Celebration ifanye Launching yake ya Albam Yake ya 16 "JC 16" Music Director wa Kundi hili Mr. Ngubeko Mbatha amefunguka masaa machache yaliyopita kwenye Facebook Wall yake na kusema
"Hi Friends I think Its proper that I announce that you'll no more see me on Joyous Celebration stage.The time has come for me to embark on a new chapter of my music journey and ministry and also face new challenges in life.I had the best time(11YEARS) with the group and I love them so much and grateful for the opportunity they gave me to learn and grow under their wing.I Thank God for your support and I'm excited about this time in my life....Blessings to all NQBK ka NTKZ."

Ngubeko Ambaye amedumu na kundi hilo kwa muda wa Miaka 11 ameamua kufuata nyayo za Mkewe kujiondoa Joyous Celebration. Wiki iliyopita Blog ili report kujiondoa kwa Mkewe  Ntokozo Mbambo katika kundi hilo.
                                                       Ngubeko na Mke Wake Ntokozo

Habari za kutoka ndani ya JC zinasema kuwa Ngubeko ameamua kuunda kundi la music litakalokuwa chini Mke na Mume.

Habari hizi zimepokelewa kwa Mshtuko Mkubwa na Friends Of JC kwa sababu watu hawa wawili walikuwa mojawapo ya nguzo Kubwa za Joyous Celebration.
                                                             Ngubeko akiwa kazini.

No comments:

Post a Comment