Pages

16 March 2012

Iliyobamba Facebook---- Ntokozo Mbambo Ajitoa Joyous Celebration.

Ntikozo na Smile yake
Mwanadada Mahili mwenye sauti ya ukweli aliyeimba kwenye Joyous Celebration wimbo wa "My Healer" lakini maarufu kwa Wimbo wa "In The Shadow Of Wing' alioimba kwenye Joyous 11 na zingine za nyuma Ntokozo Mbambo, amefunguka kwenye Facebook Wall yake na kueleza kuwa ameamua kuachana na Joyous na kuamua kufanya muziki kama Solo Artist. 
                                            Ntokozo katika Shooting ya JC 15
Ingawa Mwanamuziki huyo haya "Efatha" Wazi Wazi kwanini ameamua kujitoa Kundi Maarufu la Joyous chanzo cha kuaminika kinasema Ntokozo ameamua kufanya kama Solo Artist baada ya kufanya vizuri sana kwenye Live Shooting wa Albam yake aliyofanya Launching tarehe 10 February, 2012. Na akaona bora aendeleze kazi zake binafsi za Muziki.
                         Hii ndo inasadikika Albam iliyompa mafanikio mpaka akaamua kujitoa.


Chanzo cha uhakika ndani ya Joyous kinasema habari za kujitoa kwake zilikuwa kwa mstuko kama siku za nyuma alipojitoa mwanamuziki mwingine mwenye jina la Rebecca. Habari hizi zilistua sana sababu Ntokozi ambaye amefanya recoding ya 16 ya JC na alikuwa anatazamiwa kuwa kati ya Wanamuziki watakaoshika tena Microphone katika Joyous 16 ambayo mwezi April inaanza kufanyiwa  Launching anaweza asiwepo kwenye launching hiyo ama tamasha hilo likatumika kumuaga mwanamuziki huyo.
                     Ntokozo akiwa na mumewe bwana Nqubeko Mbatha ambaye ni Music Director wa JC
                           
Chini ni Maelezo ya Ntokozo Kwenye "Wall" Ya Facebook.


Ntokozo Mbambo
I need to officially say that I will not be touring with Joyous Celebration, the time has come for me to focus on my own musical journey. I'll only be working with Joyous Celebration behind the scenes when needed but you will no longer see me on the Joyous Celebration stage. I love Joyous Celebration with my whole heart! I've been blessed to be part of it & I thank God for the opportunity I've been there for 11 years and its time to move on! As hard as it is, growth is inevitable... I'm starting a new chapter looking to God who is the author & finisher of my faith! 
                                  Hapa wakati wa Live Shooting wa Albam ya Ntokoza tarehe 10 Feb, 2012

No comments:

Post a Comment