Pages

03 March 2012

FULL KUMPA HESHIMA MUNGU NA FOF

Friends on Friday Gumzo la jiji

Ijumaa ya jana katika Ukumbi wa Tamal Hotel ulioko Mwenge jijini Dar es salaam lile kusanyiko la Marafiki wa kikristo kwa lengo la kufurahi pamoja na kumsifu Mungu lijulikanalo kama Friends on Friday(FoF) lilifanyika. Hii ilikuwa ni FoF ya Sita kufanyika huku Mtupio(vazi) rasmi la siku hiyo lilikuwa ni Nyeupe vazi ambalo lilitia nakshi ya pekee na kupelekea ukumbi wa Tamaal uliokuwa na watu wa rangi zopte kupendeza.

Katika FoF hii Hosanna Inc ilipata nafasi ya kuhudhuria na kujionea namna vijana wa kikristo wenye taaluma mbalimbali wakiimba kwa Live Band iliyokuwa ikiongozwa na Samuel Yona,pia wakila na kunywa,wakichangia mijadala kisha Mtumishi wa Mungu Dr Edmund Lyatuu akifundisha mamia ya watu waliohudhuria katika usiku huo.

Mc Luvanda na wana FoF having good time at Tamaal Hotel



Mtumishi wa Mungu Mwl Mgisa Mtebe katikati akiwa na Annaclara kushoto, pamoja na Mwanasheria wa FoF Renee Lyatuu kulia



Friends on Friday with white as a colour of the Event




Protas alikuwepo kutoa maelekezo kwa wageni wa FoF



On tha way from Nairobi anaitwa Gamaliel(Gama) mmoja kati ya mamember wa kundi lililowahi kuwika hapa nchini lijulikanalo kama Yahwe lililokuwa likiundwa naye Gama,David Robert pamoja na Godwin Gondwe.



Kulia ni Alwatan Paaaah(Sam Sasali) akiendesha mjadala kwa nini Mabinti mambo safi(wenye uwezo kifedha) huwa wanaolewa off Beat(wanachelewa kuolewa)



Legraaa Pastor Wambura with Mc Luvanda



Hapa Chini Prosper akiimba I believe i can Fly



No comments:

Post a Comment